Cifra Club

Hakuna

Aslay

Aún no tenemos los acordes de esta canción.

Mmmh sina hali iii
Nakosa furaha mwenzako
Usiku silalagi kabisaa
Namisigi joto lako

Tafadhari ii
Fikiria maamuzi yako
Utakuja kuniua kwa mawazo
Mwana wa mwenzako

Naona nadondokaa
Maisha yana yumba yumba
Sina pakushika
Basi rudi mama mwenye nyumba eh
Nakama ukiipata barua
Uisome na kutumaa
Ewe njiwaa ewe njiwa eeh
Peleka salamu kwa mpenzii hihii
Ewe njiwaa ewe njiwa eeh
Mwambie memiss kishenzii hihii

Nasema hakuna kama wewe
(Hakuna, hakuna, hakuna)
Mmmh wakwangu mimi mwenyewe
(Hakuna, hakuna, hakuna)
Unavumilia shida na raha eeh
(Hakuna, hakuna, hakuna)
Basi nisameheehee
(Hakuna, hakuna, hakuna)
We ndo wapekee

Sizani kama nitapataa
Wakuja kunishikaa
Na nika pumzikaaa kama wee
Wenzangu naona wananenepa
Mwenzako me nakondaa
Mifupa inatokaa nisamehee

Kwangu beki wamekabaa
Wamegoma hata kucheza ndondo ooh
Na wee ndoi kocha wa mahaba
Nashangaa umenipiga kumbo ooh
Na zile shombo za pakaa
Sizitaki tena hata kidogoo dogoo

Naona nadondokaa
Maisha yana yumba yumba
Sina pakushika
Basi rudi mama mwenye nyumba eh
Nakama ukiipata barua
Uisome na kutumaa
Ewe njiwaa ewe njiwa eeh
Peleka salamu kwa mpenzii hihii
Ewe njiwaa ewe njiwa eeh
Mwambie memiss kishenzii hihii

Nasema hakuna kama wewe
(Hakuna, hakuna, hakuna)
Mmmh wakwangu mimi mwenyewe
(Hakuna, hakuna, hakuna)
Unavumilia shida na raha eeh
(Hakuna, hakuna, hakuna)
Basi nisamehehee
(Hakuna, hakuna, hakuna)
We ndo wapekee

We ndo wapekee

Otros videos de esta canción
    0 visualizaciones

    Afinación de los acordes

    Afinador en línea

    Ops (: Contenido disponible solo en portugués.
    OK