Cifra Club

Kuachana Shingapi (remix) (feat. Platform Tz, Lody Music & Barnaba)

D Voice

Aún no tenemos los acordes de esta canción.

Aanh
Mo power
Ndege kageuka bundi
(JM)
Oya wew (on the truck)

Mapenz mapenzi yalimtesa babu
Lakini bado aliweza survive
Labda nikupe habari sasa nimekua
Mambo ya kutesana nayajua
Hata utoke na danga (ujanikomoa)
Hata utoke na baba yangu (ujanikomoa)

Hata utoke na darngote (ujanikomoa)
Hata ugeuke uwe chawa wake (ujanikomoa)
Yanini kupeana ngebe eti niende kuroga
Eti niforce unipende hatujazaliwa pamoja
Mapenzi miba senyenge nkupashe shoga
Hauwezi kupanda embe lije kuota boga

Kwani kuachana shi ngap?
Kuachana bei gani?
Kwani kuachana shi ngap?
Kuachana bеi gani
Kwani kuachana shi ngap wew?
Kuachwa bei gan
Kwn kuachan shi ngp wew

Mapеnzi sio mchezo yanaumiz zaid
Inabidi uwe na pesa ili uya faidi
Ndo maan sishangai ex wangu alinikataa

Otros videos de esta canción
    0 visualizaciones

    Afinación de los acordes

    Afinador en línea

    Ops (: Contenido disponible solo en portugués.
    OK