Cifra Club

Enjoy

Jux

Aún no tenemos el cifrado de esta canción.

Hii leo
Acha tu niwaweke wazi
Mubaki na mishangao
Kuhusu haya mapenzi
Nataka kuyaeleza

Na leo
Tena wahiteni paparazi
Warushe kwa mitandao
Siyataki mapenzi
Nataka jipongeza

Unaemwita your baby
Kumbe nae ana baby
Ooh unaemwona kipenzi
Ni mshenzi hakupendi
Ama kweli mtihani
Mambo mengi duniani
Na mi stress siwezi
Ooooh siwezi
Aahh

Bora ni enjoy
Maisha mafupi ni simple
Yanini niteseke roho
Jiunge nami upoze koo
Bora ni enjoy
Maisha mafupi ni simple
Yanini niteseke roho
Jiunge nami upoze koo

Kama kupenda
Bora nimpende mama yangu
Kama kupendwaa mimi
Nitajipenda peke yangu

Kilichoniponza ufala
Kujiona simba kumbe swala
Kazama kwenye penzi uchwala
Badala ya kusaka miamala

Toka ni date pesa
Sa napendeza
Na tena naenjoy
Na wanangu ma homeboy
Ooooh account inasoma
Na kamwili kananona
We mwenyewe si unaona yani
Ai nasema bora

Bora ni enjoy
Maisha mafupi ni simple
Yanini niteseke roho
Jiunge nami upoze koo
Bora ni enjoy
Maisha mafupi ni simple
Yanini niteseke roho
Jiunge nami upoze koo

Napenda nikilewa
Nipande juu ya meza
Minjonjo huku natema kiingereza
Tupande juu ya meza
Tupande juu ya meza
Tupande juu ya meza
Za, za, za, za, za

Bora ni enjoy
Maisha mafupi ni simple
Yanini niteseke roho
Jiunge nami upoze koo

Otros videos de esta canción

    Afinación de cifrado

    Afinador online

    OK