Cifra Club

Kitete

Lomodo

Aún no tenemos los acordes de esta canción.

Zile fitina fitina maneno, sitaki kusikia
Wala lawama zawale vikwazo, mbali nitatupia
Mh! Kwani nini kosa langu minawaza siambui
Tamu imegeuka chungu ghafla umekuwa chui ie he! Hee

Ninashindwa kula hata kulala mawazo
Kutwa naikosa raha ikiwa wewe ndo chanzo
Ninashindwa kula hata kulala mawazo
Kutwa naikosa raha ikiwa wewe ndo chanzo

Kitete kitete
Nitawezaje pekeangu
Kitete kitete
Umeivuruga akili yangu
Kitete kitete
Nitawezaje pekeangu
Kitete kitete
Umeivuruga akili yangu

Mmh! Ah!
Mjini vishawishi vingi baby chunga tamaa
Shetani ibirisi shilingi fupisha macho kuona
Nakama nimekosa baby basi tuwekane sawa (uuh)
Makosa kaumbiwa binadam siwezi kuwa sawa ooh! Hee!
Wasiokupenda shoga zako hivo chunga siri usiwaambie wenzio
Ya ndani ku amwaga madhaifu yangu nitunzie mwenzio ooh

Ninashindwa kula hata kulala mawazo
Kutwa naikosa raha ikiwa wewe ndo chanzo
Ninashindwa kula hata kulala mawazo
Kutwa naikosa raha ikiwa wewe ndo chanzo

Kitete kitete
Nitawezaje pekeangu
Kitete kitete
Umeivuruga akili yangu
Kitete kitete
Nitawezaje pekeangu
Kitete kitete
Umeivuruga akili yangu

(Mawazo!)
Usiku silali nakesha unanitesa hisia zangu (mawazo)
Kibaya zaidi nashindwa kujua nini kosa langu, mawazo oh)
Lala lalililaa lololo, mmmh

Otros videos de esta canción
    0 visualizaciones

    Afinación de los acordes

    Afinador en línea

    Ops (: Contenido disponible solo en portugués.
    OK