Cifra Club

Hata Sielewi (feat. Maua Sama)

MwanaFA

Aún no tenemos los acordes de esta canción.

Faalsafaa
Falsafa Hommie
Samaa
Are you listening?

Bonge la mtoto, bonge la zigo
Naamini sioti coz naipenda hii ndoto
Sitoi boko na naamini hayuko soko
Ntamvisha pete leo leo
Sio wa mchezo ka kazi ya kwenye video
Ananikaanga roho, ananisaga moyo
Sipo sawa akili imevurugwa nayo
Nilikuwa poa tu kabla hatujakutana
Gangster kama mimi hakuna
Hana wasiwasi anatembea kama hataki,
anajivuuta na kila hatua ina nukta
Kiuno cha nyigu, rangi ya kinugu
Nashangaa maujuzi ya Mungu
Hakuna kovu hakuna sugu
Maswali bila ya majibu

So unafanya nionekane chizi
(Hata sielewi nini la kufanya)
Akili hazifanyi ka zimekufa ganzi
(Hata sielewi naona nyota mamaa)
Where you coming from?
Hata sielewi, sielewi
Where you coming from?
Hata sielewi, sielewi

Sielewi sielewi eeh, eeh
Sielewi sielewi eeh, eeeh

Sielewi lugha nyingine
Macho yamegoma hayaoni kiumbe mwingine
Huyu ntakopa ntaazima
Ila lazima ninyooshe mji mzima
Acha moyo unibebe unipeleke unapotaka
Ntarudi siku ukitaka
I'm all in, I'm fallin’
Maskio yataniziba akiniita darling
Moyo unanienda mbio, naisoma namba
Mwili mlaini utasema aliumbwa kwa pamba
Hana chale hana shanga
Mimacho imentoka ile kishamba
Sina hakika ni chiicha au ganja za zamani
Ila ana siifa za kuitwa mwandani
Tuchangie shuka, tuchangie majina
Nimshike mkono niende nae dunia nzima

So unafanya nionekane chizi
(Hata sielewi nini la kufanya)
Akili hazifanyi ka zimekufa ganzi
(Hata sielewi naona nyota mamaa)
Where you coming from?
Hata sielewi, sielewi
Where you coming from?
Hata sielewi, sielewi

Sielewi sielewi eeh, eeh
Sielewi sielewi eeh, eeeh

Maua
Umetokea wapi kwani?
Na umetumwa na nani?
Umekuja na uganga wa wapi?
Nilikuwa sawa kabla sijakutia machoni
Sielewi sielewi eeh, eeh
Sielewi sielewi eeiiih, eeeh

So unafanya nionekane chizi
(Hata sielewi nini la kufanya)
Akili hazifanyi ka zimekufa ganzi
(Hata sielewi naona nyota mamaa)
Where you coming from?
Hata sielewi, sielewi
Where you coming from?
Hata sielewi, sielewi

Hata sielewi naona nyota mamaa
Hata sielewi naona nyota mamaa

Otros videos de esta canción
    0 visualizaciones

    Afinación de los acordes

    Afinador en línea

    Ops (: Contenido disponible solo en portugués.
    OK