Cifra Club

Kamasutra (Vanessa Mdee)

Sauti Sol

Aún no tenemos los acordes de esta canción.

Sauti Sol (Sauti Sol)
Vee Money on the track
Ooh

Leo kama kamasutra mama (kamasutra)
Kama, kama, kamasutra mama ye, ye, yeyee (kamasutra)
Kama, kama, kamasutra baba (kamasutra)
Kama, kama, kamasutra baba ye, ye, yeye (kamasutra)

N'takupa kazi upande mlima baby, yeah
Na siri zangu zote n'tatoboa, yeah
So many things I want do to you, my baby yeah
Na siri zako mi sitatoboa
Huh

Selektah, I got something to make you better
Light the fire mi napepeta
Light the fire mi napepeta
Eeh, Selektah (selektah)
I got something to make you better (better)
Light the fire mi napepeta (pepeta)
Light the fire mi napepeta (pepeta)

Leo kama kamasutra mama (kamasutra)
Kama, kama, kamasutra baby ye, ye, yeyee (kamasutra)
Kama, kama, kamasutra baba, eeh (kamasutra)
Kama, kama, kamasutra baba ye, ye, yeye (kamasutra)

Chali wa Nairobi manzi wa Kipare
Leo ni mahaba nakupatia
Ushawasha nari hamjam kare
Leo michuano kiroja mila
Na si marimari (aah), hii vibe kali (aah)
Cash Madame nakubalika
Mboga juu ya meza teleza ki murenda
Washa udi na kadhalika

(Uh)
Vanessa, I got something to make you wetter
Baby, let me kiss you better
Light the fire mi napepeta
Selektah, I got something to make you rise up
Lemme back it up on you
Light the fire mi napepeta

Leo kama kamasutra, kamasutra
Kamasutra, kamasutra
Kama, kama, kamasutra, kamasutra
Kamasutra, kamasutra

Mapenzi ya kihuni yanimaliza
Kiuno kama nyingu, baby punguza
Nishakubali wanafunzi, wewe profesa wa kamasutra
Mapenzi ya kihuni nimepachika (pachika)
Kiuno kama Nicky baby tulia (tulia)
Kubali wanafunzi mimi ni profesa (profesa) wa kamasutra

Mizani kama mimi naondoka nawe
Napiga mahesabu naondoka nawe
Na mimi nimekubali kuondoka na wewe (wewe) (kamasutra)

Leo kama kamasutra, kamasutra
Kamasutra, kamasutra
Kama, kama, kamasutra, kamasutra
Kamasutra, kamasutra

Otros videos de esta canción
    0 visualizaciones

    Afinación de los acordes

    Afinador en línea

    Ops (: Contenido disponible solo en portugués.
    OK