Nimekuchagua wewe, nikupende
Mama sitaki mwingine
Aushi usiniache, usinitende
Mama usipende mwingine
Moyo wangu ni mwepesi
Umenikalia chapati
Nafanya vituko kama chizi
Kukupenda sitasizi
Moyo wangu ni mwepesi
Umenikalia chapati
Nafanya vituko kama chizi
Kukupenda sitasizi
Sura yako mzuri mama
(Aah, mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama)
Na tabasamu lako maua
(Aah, mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama)
Na sura yako mzuri mama
(Aah, mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama)
Na tabasamu lako maua wewe eeh
Itabidii nikulinde, nikutunze
Mama usikote lolote
Pete nayo nikuvishe, nikuoe
Mama usiende popote
Juu moyo wangu ushakubali
Umenikalia chapati
Nitakulinda kama polisi, eh
Itabidi nikumarry
Moyo wangu ushakubali
Umenikalia chapati
Nitakulinda kama polisi, eh
Itabidi nikumarry
Sura yako mzuri mama
(Aah, mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama)
Na tabasamu lako maua, yeah, oh
(Aah, mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama)
Na figure yako kama ya chupa, aah
(Aah, mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama)
Baby, yeah laia
Na sura yako mzuri mama, aah
Piga densi kidogo
Piga de, piga densi kidogo
Densi kidogo
Piga de, piga densi kidogo
Sura yako mzuri mama, aah
(Aah, mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama)
Yeah, yeah
Tabasamu lako maua, aah
(Aah, mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama)
Oh, yeah, yeah, yeah
Sura yako mzuri mama, oh ooh
(Aah, mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama)
You're so so beautiful
(Aah, mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama)
You're so so, yeah, yeah
Piga densi kidogo
Baby, densi kidogo
Mama, densi kidogo
(Na figure yako kama ya chupa, aah)
Piga densi kidogo
Baby, densi kidogo
Mamad densi kidogo
(Na tabasamu lako maua, aah)
Mama, densi kidogo
Niwe niwe
Niwe niwe