Gogu
Maga
Ni zuchu chu chu chu
Waiteni wambea
Wa kusini na mashariki
Waje kuona
Bado niko nawee
Waliongea
Eti mbali si hatufiki
Ikiwachoma
Wakamaze mawe
Kwako chongo (chongo)
Mi naonna kengeza
Yaani uhondo
Unavyonikoleza
Wanatapika nyongo
Penzi hawa jaliweza
Nakusifu kibongo
Nakusifu kingereza
Muchuchu muchuchu
Sweet sweet banana
Punga mkono juu
Nakuomba baby simama
Leo yako sikukuuu
Nikupakuie minyama
Upite na huku
Wasokupenda uwakere sana
Uniijie kwa mbwembwe
Unainama (waonyeshe)
Unainuka (mama)
Unaigusa, afu kama unashuka
Niongezee na njonjo
Unaninama (ah madegezyee)
Unainuka (ai we we we)
Unaigusa (agha), afu kama unashuka
[Diamond Platnumz]
Oh, baby a e i, malizia u
Eh mwenzio kwa we mi, boya tu
I know you love me, I love you too
Nsipo kuona ta te ti, presha juu
Nimegundua, kwanini wananuna
Ma ex zako, nakunichukia
Maana unajua, wapi pa kukuna
Kwa kazi yako, unaipatia
Muchuchu muchuchu
Sweet sweet banana
Punga mkono juu
Nakuomba baby simama
Leo yako sikukuuu
Nikupakulie minyama
Ebu njoo kwa huku
Ringa jishaue bana
Tena ntilie mimbwembwe
Unainama (eh nikomeshe)
Unainuka (mama)
Unaigusa, afu kama unashuka
Niongezee na njonjo
Unaninama (ah madegezyee)
Unainuka (ai we we we)
Unaigusa (agha), afu kama unashuka