Aah (yeap)
Aah, aah yeah
Ooh, yeah
Ooh, yeah aah
Morning morning
Young morning girl, ah zaliawa
Ali billionaire wa malavi ooh, ooh
Bila we kwa vile eeh, tutaishi na wewe
Mimi love, mimi love
Ooh nah, nah, nah, nah
Ukiniacha we sheri wee
Nitabaki na nani ooh
Mi nitalia Lia aah
Mi nitalia sana aah
Nitalia Lia aah
Nitalia sana aah
Mi siwezani bila wewe
Mbio ooh, ooh, mbio ooh, ooh, mbio
Moyo unanienda, moyo unanienda
Mbio ooh, ooh, mbio ooh, ooh, mbio
Mi siwezani bila wewe
Mbio ooh, ooh, mbio ooh, ooh, mbio
Moyo unanienda, moyo unanienda
Mbio ooh, ooh, mbio ooh, ooh, mbio
Are we still dating?
Mariela waky
Ama ndio nimechokwa
Ama umetekwa
Nawaza nakufikiri
Majibu sipatii
Na moyo unachosha akili
Kwa mapenzi ya ku fosi
Kupenda pasipo dhamani
Kwangu taabani sio sawa
Ni bora unipe
Moyo wangu niufiche
Mi siwezani bila wewe
Mbio ooh, ooh, mbio ooh, ooh, mbio
Moyo unanienda, moyo unanienda
Mbio ooh, ooh, mbio ooh, ooh, mbio
Mi siwezani bila wewe
Mbio ooh, ooh, mbio ooh, ooh, mbio
Moyo unanienda, moyo unanienda
Mbio ooh, ooh, mbio ooh, ooh, mbio