Cifra Club

Kamata

Diamond Platnumz

Aún no tenemos los acordes de esta canción.

Kamata kamata kamatika kamata
Kamata kamata mpaka chini kamata
Kamata kamata kamatika kamata
Kamata kamata mpaka chini kamata

Kamata kiuno kamata bega
Kamamta kichwa ka ndoo unabeba
Kamata kimini chalegalega
Ooh maana cha shuka chini unanitega

Aah mah ya leo kiboko
Mwali kanipa nyama kwa kisamvu cha kopo
Ana komesha toto
Nami naleta nyundo nimtwange kokoto

Nasema kamata kamata kamatika kamata
Kamata kamata mpaka chini kamata
Kamata kamata kamatika kamata
Kamata kamata mpaka chini kamata

Eeh kama gari ile vuum vuum (vuum Vuum)
Mtoto mkali mchum chum (chum chum)
Ikiwa ngangari ile ngumu ngumu (ngumu ngumu)
Nenda kamchinjie mbali kwa room room

Sa twende kamata kama unaisakata
Nyuma kwa bambata ile kinoma
Tegeta tabata fanya unaifatata
Za mbuzi kakataa amegoma (aiih)

Katikati chini chini (kamata)
Kasi kasi speed 12o (kamata)
Eeh kama unamenya ndizi (kamata)
Police anashika mwizi (kamata)

Aah mah ya leo kiboko
Mwali kanipa nyama kwa kisamvu cha kopo
Ana komesha toto
Nami naleta nyundo nimtwange kokoto

Nasema kamata kamata kamatika kamata
Kamata kamata mpaka chini kamata
Kamata kamata kamatika kamata
Kamata kamata mpaka chini kamata

Otros videos de esta canción
    0 visualizaciones

    Afinación de los acordes

    Afinador en línea

    Ops (: Contenido disponible solo en portugués.
    OK