Cifra Club

Ningekuwa Demu

Dulla Makabila

Aún no tenemos los acordes de esta canción.

Ooh ningekuwa demu
Aah wanangu ingekuwaje
Kama ningekuwa demu
Najiuliza ingekuwaje
Kama ningekuwa demu?

Yaani madanga yangenikoma
Kama ningekuwa demu
Ningeitwa shemeji kila kona
Kama ningekuwa demu

Kwanza mi na bwanangu
Mikonge kwa kulala
Maana navo upenda
Ule mchezo kama chakula

Na katika pochi langu
Hirizi ndo zingetawala
Nyi mkiroga mpendwe
Mi naroga nihongwe hela

Hata ukipaka mkongo
Mi ningetaka kuendelea
Makelele kama nachinjwa
Hata kama bwana Ana kibamia

Na nikikupa siku moja tu
Lazima utangaze ndoa
Mimba hata ya miezi tisa
Mi ukinitibu natoa

Na nikilewa sikatai
Mi ndo chakula cha masela
Singeli hata ipigwe huko
Ni lazima nitacheza chura

Yaani najiuliza
Ingekuwaje ningekuwa demu
RJ kichwa nauliza
Ingekuwaje ningekuwa demu

Aah wanangu ingekuwaje
Kama ningekuwa demu
Najiuliza ingekuwaje
Kama ningekuwa demu?

Yaani madanga yangenikoma
Kama ningekuwa demu
Ah! Ningeitwa shemeji kila kona
Kama ningekuwa demu

Aah mazoea mazoea hujenga tabia
Binti Santos anajulikana kila kona
Kwa offer za bia
Kweli mazoea mazoea hujenga tabia mama

Ah bosi nelea naitwa baby tila
Pande za offer za bia

Waimba singeli nina siri zao, nina siri zao
Nina siri zao mi nataka niwaambie
Nina siri zao, nina siri zao
Nina siri zao mi nataka niwaambie

Naona wamechoka sana
Nawapa gogo wakalie
We nasikiwa wamechoka sana
Nawapa gogo wakalie

Mwanangu ukiroga huku
Na mimi naroga kule
Mwanangu ukichinja huku
Na mimi nachinja kule

Ala shindo na ukichimba huku
Na mimi nachimba kule
We tindo ukioga huku
Na mimi naoga kule

Yangu njia, yangu njia
Yangu njia, yangu njia (wika)
K Money ndo mwanangu we Dulla nakukubali
Yangu njia, yangu njia

We sikukatai sikupingi maana tumetoka mbali
Yangu njia, yangu njia
Dulla hatari damu yangu mwanao nakukubali
Yangu njia, yangu njia

Mi sikukatai sikupingi maana tumetoka mbali
Yangu njia, yangu njia
HK we mwanangu mi Dulla nakukubali
Yangu njia, yangu njia

We sikukatai sikupingi maana tumetoka mbali
Yangu njia, yangu njia
Yaani Papichullo mwanangu we Dulla nakukubali
Yangu njia, yangu njia

We sikukatai sikupingi maana tumetoka mbali
Yangu njia, yangu njia
We Jacky Wolper mwanangu mwanao nakukubali
Yangu njia, yangu njia
We sikukatai sikupingi bwana tumetoka mbali

Tia mguuu

Basi twende
Napenda likienda napenda likirudi
Napenda unavyochezesha wowowo

Otros videos de esta canción
    0 visualizaciones

    Afinación de los acordes

    Afinador en línea

    Ops (: Contenido disponible solo en portugués.
    OK