Cifra Club

Sina Ujanja (feat. Nandy)

Lomodo

Aún no tenemos los acordes de esta canción.

Iyeee eh!
Uuh
Mmh yeah
The African Princess

Penzi kina kirefu nimeamini, umenituliza
Hakia Mungu siamini
Yaweje we nwezangu na mimi, hautoniliza
Kama samaki alotoka Baharini

Maana mapenzi unayonipa
Kwa mwingine sijaona
Sijala nanenepa
Walipochana umeshona hoo
Wanipa raha sana we dada, nje sitamani
Penzi lako tam tam
Wanipa raha sana we dada, nje sitamani
Unavonipa mashamsham

Eeh! Nimenasa na nimenasika (sina unjanja)
Na sipapariki papariki mi kwako nimefika (sina unjanja)
Mieee eeh, kwako (sina unjanja)
Mie ooh, (sina unjanja)

Hata na mimi nitshatumbukia, sihitaji kwingine
Nakuona king name malikia ya nini pengine
Dezo dezo unanidekeza
Kwanyimbo za pwani ukinichombeza
Kitandani ndo umeniweza
Nalala kama pono ukinibembeleza
Baba ooh, Baba eeh, utaniuwa aah
Baba ooh, Baba iyeee

Maana mapenzi unayonipa
Kwa mwingine sijaona
Sijala nanenepa
Walipochana umeshona ooh
Wanipa raha sana we kaka, nje sitamani
Penzi lako tam tam
Wanipa raha sana we kaka, nje sitamani
Unavonipa mashamsham

Eeh! Nimenasa na nimenasika (sina unjanja)
Nasipapariki papariki mi kwako nimefika (sina unjanja)
Mieee eeh, kwako (sina unjanja)
Oh miee eeh, kwako (sina unjanja)
Nasipapariki papariki mi kwako nimefika (sina unjanja)
Oh miee eeeh, (sina unjanja)

Miee eeeh kwako (sina unjanja)
Umenishika umenishika umenikamata ooh (sina unjanja)
Hmm, Iyé

Ayolizer!

Otros videos de esta canción
    0 visualizaciones

    Afinación de los acordes

    Afinador en línea

    Ops (: Contenido disponible solo en portugués.
    OK