Cifra Club

Mupango Mwema

Nalon Kwibe

Aún no tenemos los acordes de esta canción.

Mawazo unayo kwangu
Si mabaya hata niishi na woga na wasiwasi
Hata nikiwa ndani ya jangwa
Sihofu najuwa ninaye Baba

Yanipasa tu nitulie
Nisubiri mapenzi yako
Yanipasa tu niketi
Niuone ukuu wako

(Bwana) najuwa una mupango mwema
(Kwangu) najuwa una mupango mwema

Hata milima iinuke
Sitakuacha kamwe
Hata ahadi zikawie
Nitabaki nawe
Hata dunia inyamaze
Nitakuita Ywh
Ingawaje mengi yakutisha
Nakuona wewe

Ulisema humuachi
Yule ajaye kwako
Ulisema mwenye haki
Ataishi na imani kwako

Ndiyo maana nakuita
Bwana onekana

Yanipasa tu nitulie
Nisubiri mapenzi yako
Yanipasa tu niketi
Niuone ukuu wako

(Bwana) najuwa una mupango mwema
(Kwangu) najuwa una mupango mwema

Otros videos de esta canción
    0 visualizaciones

    Afinación de los acordes

    Afinador en línea

    Ops (: Contenido disponible solo en portugués.
    OK