Cifra Club

Doze Doze

Yammi

Aún no tenemos los acordes de esta canción.

Yammi yammi

Ooh love you babe
Nioneshe mahaba unlimitedi
Mwili na roho vyako babe
Japo usawa unakaba, I am ready

Penzi tumelizindua kwa Yasin tatu
Tumejikinga na dua zidi ya macho ya watu
Yeye namuaminia na simuachi katu
Bure mnajisumbua, zenu papatupapatu
Ahhh nipepee mwilini, joto litoke buu
Niteke kwa maraha kama yotee tuu
Nipepee mwilini, joto litoke buu
Niteke kwa maraha kama yotee tuu

Babe this is too much oo (doze doze)
Taratibu mwaya, utaniua mwenzako (doze doze)
Ahh babe this is too much oo (doze doze)
Moyo wangu mimi, ushakua mali yako (doze doze)

Daddy wewe ndo unanipatia
Daddy umefaulu mia ya mia
Ahadii naahidi kukutumikia
Ahh daddy, kuupenda kwangu ni sharia
Aah naapa kwa mbalamwezi na nyota za usiku
Atubariki mwenyezi, penzi liwe nadhifu

Penzi tumelizindua kwa Yasin tatu
Tumejikinga na dua zidi ya macho ya watu
Yeye namuaminia na simuachi katu
Bure mnajisumbua, zenu papatupapatu
Ahh nipepee mwilini, joto litoke bu
Niteke kwa maraha kama yotee tu
Nipepee mwilini, joto litoke bu
Niteke kwa maraha kama yotee tu

Babe this is too much oo (doze doze)
Taratibu mwaya, utaniua mwenzako (doze doze)
Ahh babe this is too much oo (doze doze)
Moyo wangu mimi, ushakua mali yako (doze doze)

Otros videos de esta canción
    0 visualizaciones

    Afinación de los acordes

    Afinador en línea

    Ops (: Contenido disponible solo en portugués.
    OK