Cifra Club

Na Enjoy

Yammi

Aún no tenemos los acordes de esta canción.

Yeleleleo yeleleo mama
Yeleleleo yeleleo mama

Kanguo kamtumba na kapafyumu kwa mbali
Mnaaanza maneno, neon waja mna nyingi shari
Sijafungua kiwanda, mi mjasirkamali
Hamuishi wanganga, mwaka huu vitawapanda visukari
Ooh, ooh

Atiii ndugu, lilia bahati
Utajiona we mrembo, uuitwe queen, usihongwe hata bati
Atiii mnayoomba hayanipati
Siogopi, Mungu wangu yu makini, ananijibu kwa wakati

Yeleleleo yeleleo mama
Ahh na enjoy
Yeleleleo yeleleo mama
Sitaki stress aka naenjoy
Ooh mama wee, niacheni nienjoy
Shida haziishi sasa bwana neenjoy

Binadamu binadamu, nawaita mara tatu
Ata nyota ndogo alisema kuna watu na viatu
Wale wa kujipamba sana wawe watu mbеle za watu ooh
Tuulizeni sisi, wanaroho za chatu
Pili pili ya shamba ya wawashi nini (apo chacha)
Eti sawa nadanga, siwadangii nyinyi (hahaa)
Mkipandisha mapanga, mimi sishushi chini (mxiiieww)
Nnalolimudu, nimuachiе Mungu kwanini
Ooh, ooh

Atiii ndugu, lilia bahati
Utajiona we mrembo, uuitwe queen, usihongwe hata bati
Atiii mnayoomba hayanipati
Siogopi, Mungu wangu yu makini, ananijibu kwa wakati

Yeleleleo yeleleo mama
Ahh na enjoy
Yeleleleo yeleleo mama
Sitaki stress aka naenjoy
Ooh mama wee, niacheni nienjoy
Shida haziishi sasa bwana neenjoy

Otros videos de esta canción
    0 visualizaciones

    Afinación de los acordes

    Afinador en línea

    Ops (: Contenido disponible solo en portugués.
    OK