Yammi yammi
Mwanakwenda uende, sikumbuki kilichofanya nkupende
Nanukuuu ndo uliyasema hayooo
Na shamba liikosa jembe
Kilima cha kushuka nikipande
Nikanyosha mikono juu, nikaoiga konde moyo ahh
Hadi najionea maajabu, mpaka nashangaa
Kipi ulichosahau kwangu ama ulipo hakuna fuhara
We si ulifuta namba zangu, ukaniacha mataa
Mixer kuniimbia taarabu, umeshajikataa
Nananinananaaw
Umeshachelewa pole
Umeshachelewa pole
Umeshachelewa pole
Umeshachelewa pole
Mhh saivi napewa full dozi ya kumimina
Ahh kuna muda sina usingizi, nalazwa mzima
Penzi nimelipitia kozi, sio made in China
Sio wewe mwana kikohozi kubanja kujinyima
Hadi najionea maajabu, mpaka nashangaa
Kipi ulichosahau kwangu ama ulipo hakuna fuhara
We si ulifuta namba zangu, ukaniacha mataa
Mixer kuniimbia taarabu, umeshajikataa
Nananinananaaw
Umeshachelewa pole
Umeshachelewa pole
Umeshachelewa pole
Umeshachelewa pole