Cifra Club

Queen Of Queens

Zaddy Raydio

Aún no tenemos los acordes de esta canción.

Queen of queens
Mmh queen of queens

Siendi kwengine tena, nishajua kwako ndo nifie
Mbona nijigambe kutwa, sababu nina wee ndo unifae
Hata waniroge, niko kwako ooh, wanipige mawe
Wataka nitoke, waje kwako ooh, wakacheze nawe

Ubaya niliyaona tena nije kwako nije tena kuyaonaa
Wabaya niliwapenda tena waje kwako waje kukuchukuaa
Acha waseme, waseme ah siwachani nawe
Tena wagome, wagome ah mwisho wangu wewe

Queen of queens
Queen of queens
You are mine you are mine
Queen of queens
You are, you are
Queen of queens
Baby you fire

Ndoa muda bado, najua naimani, kokote tutafika mbali
Ooh pesa bado, najua naimani, chochote, tutapata honey
Aah nishazama, nikapenda-kwako nishazama kwako wewe
Kwa mama, nimependa, walai nishazama kwako wewe

Ubaya niliyaona tena nije kwako nije tena kuyaonaa
Wabaya niliwapenda tena waje kwako waje kukuchukuaa
Acha waseme, waseme ah siwachani nawe
Tena wagome, wagome ah mwisho wangu wewe

Queen of queens
Queen of queens
You are mine you are mine
Queen of queens
You are, you are
Queen of queens
Baby you fire

Onana nah nah, naah nah
Ubaya niliyaona tena nije kwako nije tena kuyaonaa
Wabaya niliwapenda tena waje kwako waje kukuchukuaa

Queen of queens
Queen of queens
You are mine you are mine
Queen of queens
You are, you are
Queen of queens
Baby you fire

Otros videos de esta canción
    0 visualizaciones

    Afinación de los acordes

    Afinador en línea

    Ops (: Contenido disponible solo en portugués.
    OK