Cifra Club

Wawili

Phina

Aún no tenemos los acordes de esta canción.

Oh Melanin Queen, yeah!

La wawili
La wawili
La wawili

Tam tam
Ugali mwenzake mutindi
Mmmh, masham sham
Penzi umelijaza ndindi
Njoo, come come
Tucheze kuchi kama wahindi
Mi nawee dam dam
Hili game sindo washindi

Una mapenzi kedekede
Tufunge ndoa one day one day
Hata sitaki delay delay
Watanipora mabosi

Una mapenzi kedekede
Tufunge ndoa one day one day
Hata sitaki delay delay
Watanipora mashangingi

Hili penzi la wawili (la wawili)
La wawili (la wawili)
Wewe na mimi (la wawili)
Watatu wa nini

Hili penzi la wawili tu (la wawili)
La wawili (la wawili)
Wewe na mimi (la wawili)
Watatu wa nini

Sifa ya jongoo kujikunja kunja
Dawa ya khooo mkojo wa punda
Wanasema halina ubani la kuvunda
Mmmh, mi kwako taabani nakukunda

Nilimwomba Mungu anipe wakufanana nae
Akanipa wewee
Wakwangu mwenyewe aiii

Una mapenzi kedekede
Tufunge ndoa one day one day
Hata sitaki delay delay
Watanipora mabosi

Una mapenzi kedekede
Tufunge ndoa one day one day
Hata sitaki delay delay
Watanipora mashangingi

Hili penzi la wawili (la wawili)
La wawili (la wawili)
Wewe na mimi (la wawili)
Watatu wa nini

Hili penzi la wawili tu (la wawili)
La wawili (la wawili)
Wewe na mimi (la wawili)
Watatu wa nini

Otros videos de esta canción
    0 visualizaciones

    Afinación de los acordes

    Afinador en línea

    Ops (: Contenido disponible solo en portugués.
    OK